Pata tiketi yako yako na kuwa sehemu ya tuzo za kwanza na kubwa kabisa
za vijana, Under-30 Youth Awards 2013. Tuzo hizo zitafanyika Jumamosi
hii, 17 Agosti 2013, Makumbusho ya Taifa Opposite na IFM.
Tiketi sasa zinapatikana Samaki Samaki-MCity, Imalaseko Supermarket Posta, Shear Illusion-Millenium Towers, Hussein Pambakali-Kinondoni Studio, Kariakoo na Sinza Kumekucha.