Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, October 10, 2013

ANGALIA KOCHA MPYA WA LEVSKI SOFIA AKIVULIWA JEZI NA SHABIKI WENYE HASIRA MBELE YA VYOMBO VYA HABARI.

maxresdefault

Kundi la mashabiki wenye hasira kali la timu ya Levski Sofia ya Bulgaria limevamia mkutano wa waandishi wa habari ambao kocha mpya wa timu hiyo alikuwa anatambulishwa kwa mara ya kwanza na kuzuia kwa kumtoa kocha Ivaylo Petev nje huku akivuliwa jezi ya timu kwa kudai kwamba huyo ni mnazi wa timu pinzani ya CSKA Sofia.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages