Mastaa wakongwe wa movie za action Sylvester Stallone maarufu kama ‘Rambo’ pamoja na Arnold Schwarznegger wanarudi katika big sreen na movie yao mpya ‘Escape Plan’ au kibongobongo tunasema mpango wa kutoroka.
Katika movie hiyo Stallone aka Sly amecheza kama mtaalam wa ulinzi wa magereza na baada ya kukamatwa na kufungwa jela anakutana na mfungwa mwenzake ambaye ni Arnold. Kazi kubwa ya Stallone ni kutafuta mbinu za kutoroka jela.
Star wa Terminator Arnold na Sylvester wamesema kabla ya movie hii wamekuwa wakipata offer za kufanya movie za pamoja kutoka kwa watu mbalimbali lakini zote walizikataa kutokana na kuwa na mapungufu mbalimbali.
Mastaa hao walipoulizwa swali la ‘kizushi’ kuwa siku ikitokea wakagombana kweli katika maisha halisi ni nani kati yao ataibuka mshindi, haya ndio yalikuwa majibu yao
“We’re going to do a movie called ‘Grumpy Old Hags,’ and we’re gonna battle it out,” Stallone alitania.
“He would be on top of me punching me, I’d say, ‘Get off me, let’s go get a schnitzel,‘” Arnold aliongeza.
“We’re both pretty strong and he’s got a mean streak in him,” Stallone aliendelea.
“We’re very competitive, so because of that, I think it would be a very interesting fight,” Arnold aliongezea.
“Escape Plan” inatoka rasmi Ijumaa hii October 18 katika majumba ya cinema.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Thursday, October 17, 2013
Home
Unlabelled
ARNOLD SCHWARZNEGGER NA SYLVESTER STALLONE(RAMBO) WAJA NA MOVIE MPYA ''ESCAPE PLANE'' KUTOKA WIKI HII
ARNOLD SCHWARZNEGGER NA SYLVESTER STALLONE(RAMBO) WAJA NA MOVIE MPYA ''ESCAPE PLANE'' KUTOKA WIKI HII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment