Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, October 17, 2013

RIHANNA AMNUNULIA MAMA YAKE NYUMBA YA BILIONI 35

 Rihanna (25) amethibitisha kuwa miongoni mwa wasanii wenye mkwanja baada ya kumnunulia mama yake nyumba ya kifahari kwa dola za Marekani milioni 22 sawa na bilioni 35 za Tanzania huko nyumbani kwao Barbados alikozaliwa na kukulia.
Rihanna-house-1
Riri ambaye hurudi nyumbani kwako kila mwisho wa mwaka kusheherekea sikukuu ya Christmas na familia ameinunua nyumba hiyo ambayo mwaka jana alianza kwa kuikodi kabla hajainunua.
Tazama picha za nyumba hiyo
Rihanna-house-2
Rihanna-house-3
Rihanna-house-4
Rihanna-house-6
Rihanna-house-7
Rihanna-house-8

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages