Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, October 9, 2013

BREAKING NEWS: JACKIE CHAN YUPO HAI, HAJAFARIKI - SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA.

Taarifa zilizo zagaa katika mitandao mbaimbali ulimwenguni ni pamoja na uzushwaji wa kifo cha msanii maarufu nchini china jackie chan,taarifa za awali kutoka vyanzo vya habari za kimataifa Business Times na Snopes zinasema msanii huyo alifariki wakati alipokuwa akishoot movie yake ya hoax wote nchini Austria

baada ya jackie chan kusikia taarifa hizo kuwa amefariki aliamua kuandika ujumbe huu katika ukurasa wake wa facebook kwa mashabiki wake,

"If I died, I would probably tell the world!" the actor wrote. "I took a photo with today's date, just in case you don't believe me! However, thank you all for your concern. Kiss kiss and love you all!"

hii ni mara ya pili sasa kuzuka kwa kifo cha msanii huyo maarufu jackie chan baada ya ile taarifa aliyoripotiwa mwaka 2011 kutokana na shughuli zake hizo hizo za movie.

STORI NA:

DARVEL KARDASHIAN.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages