Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, October 3, 2013

CHRISBROWN APOSTI PICHA HIZI FACEBOOK AKIWA NA DRAKE NDANI YA CHUMBA KIMOJA


Chris Brown amepost picha hizi kwenye facebook page yake nakuandika 'Hangin with Drake in the studio' Inasemekana ni picha za muda kidogo ila inaonyesha jinsi gani vijana hawa wanataka kuwa marafiki tena. Unadhani Rihanna anahusika kwenye huu mpango wakumaliza beef yao. Kama shabiki wa Chris Brown Ingia Hapa Utaona Mambo Zaidi http://thechrisbrownchannel.com/

Hivi karibuni pamekuwa na maswali mengi kuhusu mahusiano ya Drake na Chris Brown baada ya kujikuta wanagombania mwanamke moja 'Rihanna' na wote wamekuwa wakijibu maswali kuhusu urafiki wao kwenye interviews tofauti Nje na Ndani ya Marekani.
abo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages