Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, October 3, 2013

JA RULE KUJA NA FILAMU MPYA '' IM IN LOVE WITH CHURCH GIRL'' OCT 18

Filamu mpya ya Ja Rule, I’m in Love With a Church Girl, inatarajia kuoneshwa Oct. 18 kwenye zaidi ya majumba 500 ya sinema nchini Marekani.

Kwenye filamu hiyo, Rule ambaye jina lake halisi ni Jeffrey Atkins ameigiza kama muuza unga anayejaribu kuachana na maisha hayo baada ya kupata msichana mshika dini, Adrienne Bailon.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages