Diamond Platnumz hataki kusikia cha Team Wema wala cha Team Penny, wote anawaona wale wale tu wenye mapenzi ya uongo.,
Staa huyo wa Ngololo ambaye bado yupo nchini China, ametoa kauli hiyo jana alipokuwa akimpongeza ndugu yake kwa kupata mtoto.
“Kutoka Naseeb Hadi Baba Ayaan… Asante sana @dumyutamu na @jujuwavanilla kwa kutuletea, a New Star! katika familia hii ya @WCB_Wasafi … Na nyie nao Mzaage sio tu kuleta Mapenzi ya Uongo! ya Team flani mara yule Team Flani #WiziMtupu #Muniache! Ntafte ela mie,” aliandika kwenye Instagram.
Naye Wema Sepetu jana amerejea Dar akitokea Hong Kong ambako alikuwa kwenye mapumziko ya muda ndiko alikutana na Diamond kukumbushia penzi lao.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Tuesday, October 15, 2013
Home
Unlabelled
DIAMOND AIDISS TEAMPENNY NA TEAMWEMA ''WIZI MTUPU MUNIACHE NITAFUTE ELA MIE'' SOMA ZAIDI
DIAMOND AIDISS TEAMPENNY NA TEAMWEMA ''WIZI MTUPU MUNIACHE NITAFUTE ELA MIE'' SOMA ZAIDI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment