Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, October 15, 2013

DIAMOND PLATINUMZ ATOA SADAKA



ss
Kupitia mtandao wa Instagram, msanii gumzo kwenye sanaa ya bongo fleva nchini, Diamond Platnumz ametoa shukrani zake za dhati kwa team yake kwa kuweza kufanikisha zoezi lake la kutoa sadaka kwa ajili ya eid ul hidaya. Msanii huyo alitoa shukrani kwa watu wake wa  Burundi , Mombasa , Dar es salaam, Zanzibar Kigoma na Rwanda pia.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages