Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, October 17, 2013

HIVI UNAJUA KWAMBA SNOOP LION KABADILI JINA TENA,LIANGALIE HAPA

Wakati bado ‘tunajitahidi’ kulizoea jina lake jipya la Snoop Lion aliloanza kulitumia mwaka jana, Calvin Cordozar Broadus, Jr ambaye enzi za ‘what’s my name’ alifahamika kama Snoop Dogg amebadili jina kwa mara nyingine na sasa ni ''SNOOP ZILLA''
The 2013 BET Awards held at Nokia Theatre
Jina jipya la Snoop Lion Snoopzilla (41) linakuja sambamba na album mpya ya ‘7 Days of Funk’ ambayo ameifanya kwa ushirikiano na Dam-Funk ambaye ameunda naye bendi ya 7 Days of Funk.
Zilla amesema jina hilo linatokana na ushawishi mkubwa wa Funk katika muziki wake.
“I’ve had funk influences in my music my whole career. Dam-Funk is cold. He’s keeping the funk alive and I knew I had to get down with him.”
Album mpya ya 7 Days of Funk inatarajiwa kutoka December 10 mwaka huu chini ya Stones Throw Records.
Unalionaje jina jipya la Snoopzilla?

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages