Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, October 17, 2013

HATIMAYE MMLIKI WA NYIMBO ''SOMETHING ABOUT YOU'' AJITOKEZA HADHARANI BAADA YA P SQUARE KUKANUSHA KWAMBA SIO WAO

Baada ya kundi la P-Square kutoka Nigeria kukanusha juu ya wimbo ‘Something About You’ uliosambaa kwenye ,mitandao hivi karibuni na kudhaniwa kuwa ni wao, mmiliki wa wimbo huo amejitokeza, anaitwa M-Kaze.
M-KAZE
M-Kaze
Kwa mujibu wa mtandao wa 360nobs M-Kaze amesema kuwa jina halisi la wimbo wake ni ‘You be the one’ na sio ‘Something About You’ na aliutoa mwaka 2009 kutoka katika album yake iitwayo Psycho.
P-Squaree
P-Square
Wiki iliyopita member wa kundi hilo linalotarajiwa kutua bongo mwezi ujao, Peter Okoye alitoa taarifa kwa mashabiki wa P-Square kuwa kundi lao halijatoa wimbo wowote mpya baada ya club banger yao ‘Personally’, ’Peeps pls we haven’t released any other single after PERSONALLY. Thanks’. Aliandika Peter.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages