Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, October 8, 2013

REALITY SHOW YA WEMA SEPETU KUANZA TAREHE 16 OCTOBER, EATV


C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu kupitia ukuarasa wake wa twitter amesema kwamba reality tv show yake itaanza kurushwa hewani kwanzia tarehe 16 mwezi huu kupitia station ya EATV.




Kwenye hii reality tv show utapata kuona maisha ya mwanadada huyu na jinsi anavyokabiliana na changamoto katika maisha yake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages