Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, October 8, 2013

SILAHA NA CD ZILIZOKAMATWA KUTOKA MIKONONI MWA VIJANA WALIOKUWA WAKIJIFUNZA UGAIDI HUKO MTWARA


Siku ya jana vijana 11 walikamatwa kwenye msitu mmoja uliopo Mtwara huku wakiwa wanajifunza mafunzo ya kigaidi. Vijana hao walikamatwa na cd za mafunzo ya Al Shabaab, Al Qaeda, kuunda jeshi, zindukeni Zanzibar, mauaji ya Idd Amini na Mogadishu Sniper.

Ukiachana na cd, vitu vingine ambavyo vijana hao walikamatwa navyo ni Dvd player moja, solar panel (300watts), Mapanga mawili, Visu viwili, betri ya pikipiki, simu tano za viganjani,jiko la mkaa, baskeli tatu, tochi etc.


Majina ya watu waliokamatwa ni kama ifuatavyo

Watuhumiwa wote hao tayari washafikishwa mahakamani na polisi bado wanaendelea na uchunguzi kujua kama kuna makundi mengine na ninani ambaye anafadhili matukio mabovu kama haya.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages