Matokeo hayo, yanaiongezea Simba na kufikisha pointi 31 kibindoni na kupanda nafasi ya tatu, sawa na Vinara Mbeya city wenye pointi 31.
Mfungaji wa Simba ni Hamisi Tambwe dakika ya 50 kipindi cha pili na Mtibwa Sugar ni Hasani Mgosi dakika ya 40 kipindi cha kwanza
No comments:
Post a Comment