Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, February 7, 2014

PICHA KALI ZA NICKI MINAJ ZILIZO SAMBAA KATIKA MITANDAONI,KATIKA MUONEKANO WAKE MPYA.


Unaambiwa Nicki Minaj anajipanga kuja na muonekano mpya pamoja akijiandaa na kutoka na album au mixtape.Mara nyingi picha zinazotoka kwenye media zinazomuonyesha Nicki Minaj akiwa na muonekano wa Barbie kama kawaida yake. 

Lakini hizi picha alizozitoa mwenyewe ameonekana kuwa na nywele zake mwenyewe bila vitu vingine anavyojitupiaga.
Enjoy kuziangalia hizo picha hapa....

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages