Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, July 8, 2014

WATU 8 WAJERUHIWA KATIKA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA. SOMA ZAIDI HAPA.


Baadhi ya majeruhi wa bomu lililotupwa kwenye mgahawa uliopo eneo la Gymkhana jijini Arusha wakiwa hospitali.
WATU nane, wengi wao wakiwa ni wa asili ya Asia, wanahofiwa kujeruhiwa vibaya kwa bomu lililotupwa kwenye mgahawa uliopo eneo la Gymkhana jijini Arusha usiku wa kuamkia leo. Jeshi la Wananchi likishirikiana na Jeshi la Polisi wanachunguza chanzo cha bomu hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages