Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, September 18, 2014

HAWA NDIO WASHIRIKI WA BIG BROTHER 2014 WATAKAO IWAKIRISHA KENYA, UGANDA NA ZIMBABWE

Majina ya washiriki wa shindano la Big Brother Africa yameanza kutangazwa leo September 18, 2014 kama ilivyofahamika jana kuwa M-Net na Endemol SA watakuwa wakitangaza majina matatu kila siku mpaka kufika siku ya uzinduzi wa Hot Shots October 5, 2014.
hotshots
Alusa-Kenya (kushoto), Butterphly-Zimbabwe (katikati), Ellah-Uganda (kulia)
Majina yaliyotangazwa leo ni ya mwakilishi wa Kenya aitwaye Mr Melvin Alusa, mwakilishi wa Uganda aitwaye Ellah ambaye ni Miss Uganda, pamoja na mwakilishi wa Zimbabwe aitwaye Butterphly Phunk ambaye ni Dj wa kituo cha Power Fm.
Ellah
‘Ellah’ Stella Nantumbwe ni Miss Uganda wa sasa
Alusa
Mr Melvin Alusa (Kenya)<//p>
Butterphly
Butterphly Phunk ni Dj wa Power Fm ya Zimbabwe
Ingia hapa kumfahamu Alusa wa Kenya
Ingia hapa kumfahamu Ellah wa Uganda
Ingia hapa kumfahamu Butterphly wa Zimbabwe

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages