Tumepata bahati ya kukutana na Idris. Ni kijana mwenye vituko sana na ukikaa naye kwa muda mfupi lazima akuvunje mbavu kwa maneno yake ya papo kwa papo ambayo yatakufanya ugundue kuwa ucheshi ni kitu alichobarikiwa na mwenyezi Mungu.
Kwa wajihi wake, Idris ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwenye jumba hilo litakalozinduliwa rasmi August 5.
Hakuna shaka kuwa vituko vyake vitamfanya awe mmoja wa housemates watakaokuwa na mashabiki wengi. Mtazame zaidi kwenye picha zake hizi.
No comments:
Post a Comment