Msanii anayefanya vizuri kwa sasa Nasib Abdul aka Diamond Platnumz, jana (October 2) alisheherekea siku ya kuzaliwa katika ukumbi wa Kilimanjaro uliopo kwenye jengo la Golden Jublee. Sherehe hiyo ilihudhuriwa na ndugu, jamaa wa karibu wa Diamond pamoja na wadau mbalimbali walioalikwa. Birthday boy alizawadiwa gari aina ya BMW X6.
G love na Shilole,akili the brain
Queen Darleen na Badra
Queen Darleen
Dj Mafuvu na T Bway
G love na Akili wakiongea jambo
Mama Diamond na Diamond,Wema Sepetu
Diamond akifurahia Champagne
Vijana wa Yamoto Band
Diamond akionyesha ufundi wa kupiga ngoma
Wema Sepetu akicheza ngoma
Yamoto Band walitoa Show
Diamond akifurahia show Yamoto Band
B12 alikuwa ndo muongozaji wa shughuli hiyo
Keki ya Diamond
Diamond akimlisha keki mpenzi wake Wema Sepetu
Diamond akimlisha Dada ake Queen Darleen keki
Fella alikula keki kwa niaba ya Mameneja wake
Kinje akila keki
Ommy Dimpoz na Suka
Hili ndo gari aina ya BMW ambalo Diamond alizawadiwa na Menejement yake
B-12 na Queen Darleen
Post Top Ad
Your Ad Spot
Friday, October 3, 2014
HIVI NDIVYO BIRTHDAY YA DIAMOND PLATINUMZ ILIVYOFANA.
Tags
EVENTS#
LIFE OF CELEBRITIES#
Share This
About DARVEL LAMAR BLOG
LIFE OF CELEBRITIES
Labels:
EVENTS,
LIFE OF CELEBRITIES
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment