Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, October 3, 2014

VIDEO: TAZAMA MAMA WEMA ALIVYOWAJIA JUU WANAOMTUSI MITANDAONI KWENYE BIRTHDAY YA WEMA.

Mama mzazi wa muigizaji Wema Sepetu, amewajia juu watu wanaomtusi kupitia mitandao ya jamii hasa wale wanaojulikana kama team fulani, akitaja kwa majina "TeamDengue" baada ya kudhalilishwa kwa kuchorwa akiwa uchi na kusambazwa mitaandaoni

Akizumgumza katika birthday ya mtoto wake iliyofanyika siku ya jumapili, alianza kwa kuwashikuru wale wote waliohudhuria party hiyo n akuwaomba kuendelea kumpenda Wema licha ya kuwa anatukanwa na kudhalilishwa

"Anaeanza nyie mnamaliza, isipokuwa msitukane, naomba kama mnaupendo muendelee na upendo, mmeonyesha kama mnampenda Wema, Wema anatukanwa, Wema anadhalilishwa, nilikuwa nazungumzia Team Wema na Team nani? nani nani nani????? kuna team Dengue, kuna team dengue mnadhania siijui, mi naijua niliyochorwa niko uchi, mimi kweli nilivyo umbile langu mnaniangali mnaniona niliyo (huku akizunguka) mnaniona vizuriii?hivi kweli nimechorwa nina mabaka huku (akionyesha mapajani) nna mabaka mimi? halafu halafu guuuu, mi sipakagi, sipakagi, sipaki mimi mkorogo katika maisha yangu, sipaki mkorogo, sijui mkorogo sijui kukorogwa, mimi ni naturu line (natural) kwa baba na mama"
Mama huyu aliendelea kusema....lakini, lakini, lakini, team dengue sijui team korosho sasa hivi nadili na nyinyi, na nimeshawajua wote na nimeshaambiwa mmoja baada ya mwingine, hao hao mlivyo wanafki mnakuja kwangu mmoja moja mnaniambia eee eeeeh nyoko zenu. Nyoko nyoko zenu, mnaniweka mimi uchi? hivi unavyoniweka mimi uchi hujui kwamba unajiweka na wewe, na mamayako unamuweka uchi na baba yako unamuweka uchi, hivi kweli mnaadabu nyie? mmelelewa? mmefundwa nyinyi? mimi nimefundwa ndo maana nimemtunza mume wangu, ameachwa na watu wote nimemtunza miezi mitatu hanyanyuki, mpaka amekufa mikononi mwangu, mnayaweza hayo? subutu kumamayo mtabaki kuchukuliana wanaume, ndo kazi yenu kubwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages