PICHA : MILLARD AYO
Mrembo kutoka wilaya ya Temeke,Sitti Mtemvu usiku wa kuamkia Oct 12
ametwaa taji la Miss Redd’s Tanzania 2014,katika shindano hilo la
kumsaka mrembo lililofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.Sitti
Mtemvu ambaye ni binti wa Mbunge wa Temeke,Mhe.Abbas Mtemvu alikabidhiwa
zawadi ya fedha taslimu Milioni 18,huku mshindi wa pili alikabidhiwa
fedha taslimu Milioni 6.
Angalia picha mbalimbali zikiwemo wasani mahiri Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee wakitoa burudani jukwaani
No comments:
Post a Comment