Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, July 4, 2015

JOSE CHAMELEONE AAHIDI KUMSUPPORT WEMA SEPETU KUWANIA UBUNGE. SOMA ALICHOKISEMA HAPA.

Jose Chameleone yupo tayari kumsaidia Wema Sepetu kwenye harakati zake za kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.
11026211_806800169397035_7931525195702693964_n
Petit ambaye ni mmoja wa watu walio karibu na Wema amepost screeshot kwenye Instagram ya mazungumzo na Chameleone kwenye WhatsApp.
“S/O to my bro Jchameleone kwa kuonesha support pale inshallah atakapochukua mama form ya kugombea Ubunge Viti maalum.. Tutakuwa nae kwenye campaign mwanzo mwisho.. Thank u so much bro.. Lets support Wema Sepetu,” aliandika Petit kwenye picha hiyo chini:
11357985_824882520940285_2003763970_n

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages