Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, December 21, 2012

OLIVIA CULPO: MSHINDI WA SHINDANO LA MISS UNIVERSE 2012 NA WAREMBO WENGINE....

Miss Universe 2012 kutoka USA Olivia Culpo ambae ameifanya Marekani kuchukua hilo taji,
mara ya mwisho ilikua miaka 15 iliyopita ambapo mwaka huu zaidi ya nchi 80 zilishiriki.
Miss Brazil Gabriela Markus.
Irene Sofia Esser Quintero of Venezuela is named a top 16 finalist.
Hapa ni Miss Philippines Janine Tugonon na Miss USA Olivia Culpo
wakisubiria maamuzi ya mwisho ya majaji kuhusu mshindi.
Miss Australia Renae Ayris, left, Miss Russia Elizabeth Golovanova,
Miss Brazil Gabriela Markus na Miss France Marie Payet.
Miss Australia Renae Ayris is named a top 10 finalist.
Miss Universe Tanzania 2012 Winifrida akiwa na washiriki wenzake,
hakufanikiwa kuingia 16 bora.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages