Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, November 3, 2014

BEYONCE: ORODHA YA NYIMBO NYINGINE ZA ALBUM MPYA YA BEYONCE YAVUJA. KAMSHIRIKISHA NA RIHANNA.

Beyonce-Self-Titled-Album-Cover
Picha iliyosambaa mwishoni mwa wiki iliyopita inayoonesha kama uthibitisho wa kuachiwa kwa album nyingine ya siri ya Beyonce, Beyoncé Volume 2.
a_560x0
Hizi ndizo nyimbo zitakazopatikana kwenye album hiyo ambazo hata hivyo baada ya kuvuja hii hatudhani kama Beyonce ataendelea na mpango huo.
Sweet Illusion
DONK, featuring Nicki Minaj
Good in Good Bye
Loyal
Renouncement, featuring Justin Timberlake
Sensation of Pain
Fashion
KO
True
Cherry, featuring Rihanna
Flawless (Remix), featuring Nicki Minaj

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages