Baadhi ya vijana walioingia na…
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba alipokuwa
akitoa mada kwenye mdahalo wa kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina
Katiba inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba
kabla ya vurugu kutokea.
Baadhi ya vijana walioingia na mabango na kuvuruga mdahalo huo wakidhibitiwa.
Vurugu zikishika kasi ndani ya Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar.
Jaji Warioba akitolewa nje ya Ukumbi wa Ubungo Plaza mara baada ya vurugu kutokea.
Jaji Warioba akiwa nje ya ukumbi huo chini ya ulinzi mkali.
Baadhi ya vijana waliovuruga mdahalo huo wakiwa na mabango.
Jaji Warioba (wa pili kushoto waliokaa) akijadiliana jambo na wenzake.
Wanahabari wakiwa eneo hilo la tukio.
No comments:
Post a Comment